MSITU WA HIFADHI MISITU YA RONDO WATEKETEZWA KIKATILI KWA MOTO LINDI VIJIJINI

clip_image001Msitu wa Hifadhi wa misitu ya Rondo wateketea kwa moto Mapema Jana mchana na kusababisha Bara bara ya Namupa Nyangao kufungwa kwa takribani lisaa limoja kutokana na ukubwa wa moto huo, chanzo cha moto huo hakijafahamika hadi sasa..

Wananchi waombwa kuacha kuchoma moto sehemu zao za mashamba mara wanapotaka kuanza kilimo kwani unaweza ukaleta athari kubwa kama hii iliyotokea katika Hifadhi ya Misitu.

Hizi ni Baadhi tu ya Picha za Msitu huo ulioteketea kwa moto.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post