KUMBE LAANA YA NGONO SI TANZANIA TU, WAKAMATWA WAKIFANYA NGONO MCHANA KWEUPEE…

clip_image001Wapenzi wa wawili nchini China walibambwa wakifanya mapenzi kwenye viti vya nyuma ya tax mchana kweupe.
Dereva mmoja aliamua kuwapiga picha wawili hao kwenye mida ambayo watu wengi huwa wako bize kwenye mitaa mingi ya jiji la Shangai.
Kwenye picha hizi ukiangalia utamuona mwanamke akiwa juu akimkumbatia mwanaume kwenye kiti cha nyuma cha tax huku kichwa cha mwanaume huyo kikiwa kimelala kwa nyuma kutokana na kukolezwa na tendo hilo.
Mwendesha pikipiki mmoja aliyeona tukio hilo la kushangaza alisema: 'Nilikuwa kwenye msafara karibu na wao na niliwaona wakiwa wanatomasana.'Baadaye wakakolea na kuamua kuanza kufanya ngono mule mule ndani ya tax na ndipo nilipoamua kuwapiga picha.' Alisema shuhuda huyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post