Unknown Unknown Author
Title: HUYU NDIYE MKE WA HUSSEIN MACHOZI, MCHEKI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Idadi ya wasanii wa bongo fleva wanaovuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka, na safari hii aliyeiaga kambi ya ukapela ni hit maker wa ‘Kwaaji...

clip_image002Idadi ya wasanii wa bongo fleva wanaovuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka, na safari hii aliyeiaga kambi ya ukapela ni hit maker wa ‘Kwaajili Yako’ Hussein Rashid maarufu kama Hussein Machozi ambaye (August 28) amefunga pingu za maisha kimya kimya na Shu Yunus Omar raia wa Kenya.

Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili Hussein Machozi na mkewe Shu Omar wamebadilisha status zao kutoka ‘In a releationship’ na kuwa ‘Married’ huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa staa huyo kutoka Manyoni, Singida.

Hizi ni baadhi ya picha za chaguo la MachoziAddicted Hit maker pia ni baba wa mtoto mmoja wa kike aitwaye Zakia. Hongera sana Hussein kwa kupiga hatua hiyo kubwa katika maisha

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top