Unknown Unknown Author
Title: KILI MUSIC TOUR ILIVYOFUNIKA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
JideJaydee na Mr Blue wakiimba "Wangu" katika Tamasha la Kili Music Tour lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo Katika Viwanja Vya Lea...

clip_image001JideJaydee na Mr Blue wakiimba "Wangu" katika Tamasha la Kili Music Tour lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo Katika Viwanja Vya Leaders.Si mwingine ni Roma Mkatoliki akiendeleza makamuzi katika Kili Music Tour Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya Leaders ambapo Kili Music Tour ndio imehitimishwa jijini Dar Usiku wa Kuamkia leoRecho katika jukwaa la Kili Music Tour Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja vya leaders akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakati wa Tamasha hilo lililofanyika katika Viwanja Vya leaders usiku wa kuamkia leo.Msanii Recho akikata mauno kuonyesha uwezo wake katika Jukwaa la Kili Music Tour iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya leadersRecho akiwa amebeba na mmoja wa mashabiki wake aliyemuita jukwaani kwaajili ya kucheza nae, Hapo akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyongaZembwela na Dullah wakiwa ma MC wa Kili Music Tour iliyofanyika Usiku wa Kuamkia Leo Katika Viwanja vya Leaders wakijadiliana JamboBaadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na vitongoji vyake wakiwa makini Katika Kufuatilia Show kutoka kwa Wasanii wa Kili Music Tour iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja vya leaders.Mwamba Wa Kaskazini, John Makini akiporomosha song lake la Bei ya Mkaa kwa Mashabiki walifurika katika Viwanja vya leaders usiku wa Kuamkia leo Katika Kili Music Tour iliyofanyika katika Viwanja vya leaders.
The True Boy Ney wa Mitego, anajiita rais wa manzese akiporomosha song lake la Salamu zao Kwa Mashabiki waliofurika Katika viwanja vya leaders usiku wa Kuamkia leo katika Kili Music Tour.
Madee pamoja na Linex wakitoa burudani kwa wakazi wa jiji la Dar na Vitongoji Vyake Katika Kili Music Tour waliofurika katika Viwanja Vya Leaders usiku wa Kuamkia leoUmati wa Wakazi wa Jiji la Dar waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku wa Kuamkia leo katika Show ya Kili Music Tour.Diamond na Ney wa Mitego wakiimba Nyimbo ya Muziki gani katika Jukwaa la Kili Music Tour usiku wa Kuamkia leoProf Jay akiwa na lady jay Dee na Nikki Mbishi wakitoa Burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji vyake katika Kili Music Tour iliyofanyika katika Viwanja vya leaders usiku wa kuamkia leoMzee Yusuph nae alikuwepoDj Mafuvu kutoka East Africa Tv and Redio akiwapagawisha mashabikiUsalama ulikuwepo kuhakikisha wasumbufu wote wanathibitiwa kama ambavyo kijana huyu usiku wake ulipoingia doa baada ya kukamatwa na wanausalama kwa kumpiga na chupa mmoja wa wafanyakazi waliokuwepo katika kili Music Tour iliyofanyika usiku wakuamkia leo katika Viwanja vya leaders.

Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top