JE UNA SWALI KWA DR. SLAA? HII NI FURSA KWAKO KUMUULIZA SWALI LAKO

clip_image001Jumapili hii ya Septemba 22, 2013, Mubelwa Bandio atafanya mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Dk Wilbrod Slaa aliyeko safarini nchini Marekani kwa sasa.
Ili mahojiano hayo yailenge na kuigusa jamii, unaombwa kuuliza swali au kutoa dukuduku kuhusu jambo ambalo unadhani Dk Slaa ndiye mtu sahihi wa kulitolea ufafanuzi.
Mubelwa atapita
hapa mara kwa mara kukusanya maswali.
Mwisho wa kutuma maswali hayo ni  siku iyo hiyo ya Jumapili, saa mbili asubuhi (08:00 am EST) majira ya Mashariki ya Marekani ambayo ni saa tisa alasiri (03:00 pm) majira ya Afrika Mashariki.

Source: wavuti

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post