Unknown Unknown Author
Title: HII NDIO NDEGE MPYA KUBWA KUTOKA SHIRIKA LA KENYA AIRWAYS “BOEING 777-300ER”, CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa z...

clip_image001Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.Boeing 777-300ER ina uwezo wa kubeba abiria 400.

Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwa ajili ya Kenya Airways

Picha: Nairobi Wire

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top