BABY MADAHA ASAINI MKATABA WA SHILINGI MILIONI 50 NA APEWA GARI AINA YA AUDI TT

clip_image001Kampuni ya Candy n’ Candy Records iliyoko  jijini Nairobi Kenya, iliompa mkataba Mr. Nice imeamua pia  kuumpa mkataba msanii mwingine wakike Baby Madaha mkataba wa shilingi Milioni 50 na gari mpya aina ya audi, Baby madaha ambaye anatarajia kutua nchini leo akitoka Nairobi pamoja na meneja wake kwa ajili ya kuachia video ya wimbo wake wa kwanza aliofanya na Label hiyo uitwao “Summer Holiday”.  Mmiliki wa studio hiyo amesema wanataka kumuhamishia msanii huyo jijini Nairobi nchini Kenya kwa kipindi cha mwaka mmoja ili afanye nao kazi huko kwakua wamegundua kuwa anakubalika sana nchini Kenya.

Huu ndio wimbo wenyewe

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post