Mwili wa marehemu ukiwa unaning'inia baada kujinyonga
Mke wa marehemu
Mwanaume mmoja ambaye jina lake, halikuweza kutambulika mara moja, mkazi wa Kigogo-Mbuyuni jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya kuamkia mei 29 alijinyonga kwa madai ya ugumu wa maisha uliosababishwa na kukosa ajira.
SOURCE: GPL