Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: NILILALA NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAIS SEHEMU YA PILI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Story: Nililala na maiti 20 ili niolewe na Rais Sehemu: 2 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: +255 713 133 633 Ilipoishia.. Kwanza niambie upo taya...

clip_image003Story: Nililala na maiti 20 ili niolewe na Rais
Sehemu: 2
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: +255 713 133 633

Ilipoishia..
Kwanza niambie upo tayari kufanya nitakayokupa kisha nikufanyie mpango urudi duniani?”
“Ndio mama nipo tayari hata sasa hivi”
“Unatakiwa ulale na maiti ishirini huku kila moja ukiivua na kuichezea viungo vyake vya siri ikiwa ni pamoja na kuzinyonya, kuzilamba masikioni na midomoni kama wafanyavyo wapenzi wanaopendana huko duniani, sawa?”
“Hapana, hilo siwezi, siwezi nibadilishie adhabu”
“Mwanangu Adela hiyo siyo adhabu hiyo ni njia ya wewe kurudi katika mazingira ya kawaida ili usiwe mfu tena. Adela umenielewa mwanangu?”
Songa nayo…
“Hapana mama bado sijakuelewa kabisa!”
“Sasa muda wa kubembeleza umeshapita, cha kufanya wewe subiri muda ukifika utaona kitakachokutokea na kama maagizo tayari nimeshakupatia, tumeelewana Adela?”
*******
Milio ya sauti za ndege wa porini kama bundi ndio ilihamsha zaidi hisia za mwili wangu kupitia masikioni. Woga wa ajabu uliendelea kunitanda katika halmashauri ya kichwa changu. Macho yangu yalizidi kustaajabu mazingira niliopo. Hakukuwa hata na mtu aliyeniongelesha zaidi ya kila mmoja kunitazama nakisha kuendelea na shughuli zake. Ninaweza kusema kuwa wengine hawakuwa hata na sehemu za siri japokuwa kila mmoja alikuwa akipita uchi. Yale maneno ambayo nilikuwa nikiyasikia kwa watu kuwa kuna uchawi. Kuwa wachawi huwa wana sheria zao na tamaduni zao kamwe nilikuwa siyaamini lakini leo hii nayatazama kwa macho yangu mwenyewe tena nikiwa kama mchawi mchanga. Mchanga kwa kutofundishwa bado uchawi haswaa! Niliye katika mazoezi ya kulazimishwa kuujua na kuufanya uchawi kama sehemu ya maisha yangu.
Hatua mbili tatu nilijikuta nikiinuka nakuanza kuzunguka zunguka mwenyewe. Nikajiwekea ujasiri wa kiume katika mwili wangu wa kike. Ujasiri wa kupambana na chochote mbele yangu kwa kutumia nguvu zangu. Baada ya hatua chache huku nikitembea nikasikia minong’ono ikitokea upande wa pembeni yangu. Haraka haraka nikageuza macho yangu lakini sikushuhudia kitu chochote. Nikatoa sonyo kali lakini nikastaajabu masonyo zaidi ya kumi yakinirudia katika masikio yangu.
“Alaaaah!!”
Nikastaajabu!. Nikiwa bado katika hali ya kustaajabu mazingira na sauti zilipotokea mara macho yangu yakakutana tena na rundo la wasichana wadogo wadogo wakiwa wamezunguka huku wakionekana kwa mbali kama wakicheza ngoma. Taaratibu niliwasogelea mpaka katika eneo lile nami nikajiweka mstari mmoja nao kwa shauku ya kutaka kujua kitu gani walichokizunguka wakicheza.
“ooohhhhh!! Ohhh!!”
Mapigo yangu ya moyo yalianza kunibadilika kwa kile nilichokuwa nikikishuhudia mbele yangu. Walikuwa ni wazee wawili wakiwa uchi wa mnyama wakiuchezea mwili wa mtoto mdogo alioonekana kama ni maiti huku wakiing’ata ng’ata na kisha kutafuna nyama zake na kuzitapika papo hapo na midomoni mwao wakibakiwa na damu damu. Woga ulinizidia, ule ujasiri wa kiume niliojijaza kwa muda mfupi ulinitoka ghafla na kuingiwa na huruma ya kike. Huruma kama ya mwanamke aliyetoka kujifungua.Nikatamani sana kuingilia kati kwenda kuwazuia lakini nikaogopa huenda ningefanyiwa kitu kibaya kwa kuharibu mila zao hivyo nikabaki nikiwaangalia huku machozi ya uchungu yakiendelea kunidondoka kwa huruma.
Niliendelea kupatwa na hasira kali haswa kwa jinsi mabinti walivyokuwa wakifurahia kwa kupiga makofi.
“Adela? Adela njoo hapa kati?”
Mmoja kati ya wale wazee aliniita jina langu la Adela. Sikutaka kuamini kama anayeitwa ni Adela mimi. Niliyageuza macho yangu kuwaangalia wale mabinti huenda mmojawapo anaitwa Adela. Cha kustaajabu kila mmoja alikuwa akinitolea macho mimi kana kwamba anayeitwa ni mimi. Nilijihisi mwili kunitetemeka sambamba na mkojo kunichuruzika huku nikirudi nyuma nyuma nikihema juju. Kwakuwa nilikuwa eneo kama hewani sikuweza kujua wapi pa kutokea na wapi pa kuingilia hivyo nilibaki nikirudi nyuma nyuma nisijue naelekea wapi.
“Sitaki niacheni jamani, niacheniii?”
Nilijitahidi kutoa sauti lakini haikusaidia kuwanyamazisha wale wazee kwani ndio kwanza waliendelea kunisogelea kwa ukaribu huku lile rundo la mabinti wakiwasindikiza kwa nyuma yao. Hatua chache nyuma nilishangaa kama nimejikwaa, kwani nilijikuta nikidondoka mpaka chini nakulala kifudifudi kisha viungo vya binadamu vilidondoka kwa kunizunguka. Vipande vipande kuanzia mikono, miguu na viungo vya sehemu za siri za wanaume ambazo vilikuwa vikitoa harufu kali sana. Haraka haraka nilivuta kiungo kimojawapo na kutaka kuwarushia wale wazee waliokuwa wakinifuata mbele yangu.
“Weee!! Wee!! Weeee!! Thubuutuuu!!? Mpumbavu kabisa wewe!. Unajua thamani yake hivyo vitu ulivyovishika?”
Nilibaki nimeyakodoa macho yangu kwa kustaajabu maneno ya mzee aliokuwa akiniongelesha. Nilijihisi kutetemeka zaidi mwili wangu. Wale wazee wakainama hadi chini nilipokuwepo na kisha wakaanza kuniingiza vidole katika sehemu zangu za siri huku yule mzee mmoja akininyonya papi zangu huku akinimwagia damu nyingi ndani ya mdomo wangu. Damu damu ambazo bado zilikuwa zimebaki kwenye mdomo wa yule mzee zote kwa kula nyama za yule mtoto zote zikahamia mdomoni kwangu. Aliufanya mdomo wangu atakavyo huku mzee mwingine na yeye akichezea sehemu zangu za siri sambamba na maziwa yangu atakavyo. Niliumia sana moyo wangu. Nilipingana na akili yangu chafu iliyoshinikizwa na nguvu za kichawi kuingia kaburi la mama yangu mpaka kufika huku. nilibaki nalia kwa vikwifukwifu.
“Jamila?”
Yule mzee aliokuwa akinichezea sehemu zangu za siri aliita kwa sauti ya juu huku akiwaangalia wale mabinti. Hapo hapo halmashauri yangu ya kichwa ikafanya kazi haraka nakugundua kuwa kumbe mmojawapo kati ya wale mabinti anaitwa jamila. Punde huyo jamila alijitokeza.
”Abee baba!”
“Nenda kule kwa mama yako kanitafutie lile panga langu”
Niliposkia tu panga nikajihisi mapigo ya moyo kukosa ushirikiano. Nikajua hata kama mfu nauliwa tena sasa sijui ndio nitakuwa mfu wa kweli ama mfu wa pili baada ya kufa mara mbili. Mwili wangu ukawa hauwezi kunyanyuka wala kufurukuta zaidi ya kuukabidhi kwa wale wazee waufanye watakavyo. Wakiwa bado wanamsubiri |Jamila.Yule mzee aliokuwa akininyonya mdomo wangu akaendelea tena kuniyonya mpaka mdomo wake ukabadilika rangi nakuwa nyekundu si nyekundu na hata bluu si bluu.
“Hili hapa baba!”
Sauti ya Jamila nikaisikia kwa mbali kama ikikabdihi hilo panga aliokuwa ametumwa. Macho yangu yakawa hodari kwa kuangalia ni panga kweli au la!.
“Mhh!! ama kweli?”
Nilibaki nausemea moyo baada ya kuona mfupa mkubwa sana ukiwa umekaa mithili ya panga Jamila akimkabidhi baba yake.
“Adela?”
“Abee baba!”
“Unawaona wenzako wote hao waliokuzunguka hapa?”
“Ndio nawaona”
“Embu jaribu kuwaangalia vifuani mwao?”
Nilianza kuyatoa macho yangu kwa kuaangaza wale mabinti waliokuwa wamenizunguka. Japokuwa walikuwa uchi wa mnyama. Niliweza kugundua kuwa hawakuwa na maziwa vifuani mwao.
“Nimewaona tayari”
“Umegundua tofauti yao na yako ipi?”
“Hapana baba sijagundua chochote”
Ilinibidi kuwaongopea kwa makusudi ili niepukane na kukatwa kwani nilijua wazi wanataka kunitoa maziwa yangu nifanane na hawa mabinti.Yule mzee alichukuwa lile panga na kuanza kunikata nalo ziwa moja baada ya jingine. Sikuwa na nguvu ya aina yeyote tena na wala sikusikia maumivu zaidi ya kuhisi kama natekenywa. Ni dhahiri kuwa lile panga lilikuwa na dawa zao za kuweza kumpumbaza mtu anapokatwa asisikie maumivu yeyote. Alipomaliza kunitoa maziwa yangu yote mawili akawarushia wale mabinti wakaanza kugombania kwa kuyala bila kujali limbi la damu zake. Nilitamani sana kutoa sauti kwa ukali ya kuwatukana lakini nilishindwa. Tayari nilikuwa kama nimefanyiwa dawa za kutokutoa sauti kwa kipindi. Nilibaki kuwa kama mtu aliyefungwa mdomo kwa kutokuwa na uwezo wa kutoa sauti.
”Adela, sasa umekamilika mwanetu, inuka?”
Nilidhani utani kuwa nisingeweza kuinuka. Nilishangaa nguvu za ajabu zikinirudia na kuweza kuinuka kutoka pale chini. Maswali mengi yalibaki kichwani mwangu ikiwa ni pamoja na kuyatoa maziwa yangu, nilishangaa kuishiwa nguvu zote na baada ya kukatwa nilipata nguvu ya kuinuka.
“Sasa waweza kwenda pale ukakutane na kiongozi wako uanze kazi leo leo,sawa Adela?”
“Sawa baba!”
Niliondoka kiunyonge huku nikijihisi kama aibu kubwa imenitawala Adela mimi. Kwa mwendo wa taratibu huku nisielewe mazingira ya chini yapoje poje kwani hayakuwa na vumbi wala ardhi yaani yalikuwa ni kama angani tu. Ndani ya muda mchache nikawa tayari nimeshafika kama nilivyoelekezwa na wale wazee walionitoa maziwa yangu na kuwapa wale mabinti wagawane kwa kuyatafuna.
“Adela mwanangu umekuja?”
Aliongea yule mama wa kwanza kabisa. yule alioniambia kuwa ni kiongozi wao na atanipangia kazi ya kulala na maiti ishirini.
“Ndio mama”
“Umependeza mwanangu! Hivyo ndivyo mabinti wakike wanavyoishi huku kwetu. Si umeniona hata mimi sima maziwa? Yaani huku hayana kazi maana kama mimba hatupati, watoto wanaliwa na wazee na hawaruhusiwi kuishi sasa miziwa niwe nayo inafanya kazi gani?”

**** Adela sasa amekamilika kuwa mchawi halisi. Je itakuwaje huko mbeleni katika uchawi wake, na vipi kuhusu kulala na hizo maiti atafanikiwa zote? Nini hatma yake?
**** Simulizi ndio kwanza imeanza kunoga, tegemea utamu zaidi kila itakapokuwa inaendelea. Kumbuka ku Gonga LIKE na SHARE ili simulizi hii iwafikie wengi zaidi nao wajifunze kitu.
**** ANGALIZO ****
Simulizi hii bado inaendelea kuuzwa online kwa bei ya chini kabisa shilingi elfu 2500/= tu. Ni wengi ambao tayari nimeshawatumia na wameweza kuisoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho kabisa hata kukubaliana na matukio yanayofanya na Adela ya kusisimua mwili huku ukibaki kusikitika kwa tabasamu. Unachotakiwa kufanya nitumie meseji inbox hapa uwanja wa simulizi kwa kuandika ‘MAITI 20’ halafu tuma pesa kwenye namba zangu.
Voda: 0758 211153 – Bahia
Tigo: 0713 133 633 – Andrew Andrew

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top