Hiki ni kituo kilichopo maeneo ya Magomeni Usalama.Muonekano wa Morogoro road eneo la Magomeni.
Wakati ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam ukiendelea katika Barabara ya Morogoro muonekano wa vituo vipya unavutia tofauti na ule wa zamani.
(HABARI/PICHA: NA GLADNESS MALLYA/GPL)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.