EXCLUSIVE INTERVIEW KATI YA SWAHILI TV NA AMMY NANDO

clip_image003Sikiliza na angalia exclusive interview' kati ya Swahili TV na mshiriki wa shindano la Big Brother Africa season 8 "The Chase" Ammy Nando. Ndani ya video hii Nando anaelezea sababu za kutolewa katika jumba la Big Brother Africa, na mipango yake ya baadaye.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post