FALSAFA ZANGU ABDULRASUL MUHIBU NO. 1 SIFA

clip_image001ABDULRASUL MUHIBU

SIFA

Hili ni gonjwa kubwa hatarishi sana hasa kwa vijana hata watu wazima walio wengi. Kwa kutaka kupata sifa au kusifiwa,tumejikuta kukifanya maamuzi mbalimbali ambayo mara nyingi yanatugharimu sana na hivyo kupoteza pesa nyingi. Mfano Manunuzi ya TV ambazo ni Bapa {Flat screen}, Zimewafanya watanzania wengi kuingia gharama ambazo si muhimu kiasi hicho, Lakini lakini lengo ni kutaka kutambi...lika katika jamii inayokuzunguka au kwenda na wakati,

Tumejikuta tukiingia gharama ambazo nje ya uwezo wetu, na hivyo kuchangia katika ugumu wa maisha. Tafadhari Ieleweke ya kwamba sipingi watu kwenda na wakati,Bali ushauri wangu ni kwamba je? Hiko unachoamua kununua kipo ndani ya uwezo wako? "ACHA KUSEMA MAISHA NI MAGUMU JICHUNGUZE" Sambaza ufahamu hadi mashariki ya mbali

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post