TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA LINDI INATANGAZA NAFASI YA MRATIBU WA KLABU.
SIFA ZA WAOMBAJI:
  1. AWE MTANZANIA MWENYE UMRI USIOPUNGUA MIAKA 25
  2. AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA SITA AU ZAIDI
  3. AWE NA UWEZO WA KUTUMIA KOMPYUTA KWA UFASAHA
  4. MWENYE UWEZO WA KUUNGANISHA WADAU NA WANAHABARI
  5. AWE NA UWEZO WA KUBUNI NA KUTAYARISHA ANDIKO LA MRADI
MAOMBI YATUMWE KABLA YA MWEZI AUGUST 30, 2013 KWA :
MWENYEKITI LINDI PRESS CLUB P.O.BOX 404-LINDI
BARUA ZA MAOMBI ZIAMBATANISHWE NA VYETI VIVULI VYA ELIMU , CV NA MAJINA NA ANUANI ZA WADHAMINI WAWILI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI  FIKA KWENYE OFISI ZETU ZILIZOPO JENGO LA Y2K ZAMANI NOVELTY CINEMA MAKUTANO YA BARABARA YA KARUME NA ELIET MJINI LINDI AU PIGA SIMU NAMBA:0787176221  AU  0754052060




Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post