Unknown Unknown Author
Title: HAYA NDIO MANENO YA PENNY BAADA YA KUIMBWA KATIKA WIMBO WA YOUNG KILLER–MRS SUPERSTAR
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mujibu wa mchumba wake Diamond, Penniel Mungilwa aka Vj Penny, wote kwa pamoja ni mashabiki wakubwa wa rapper huyo mwenye umri mdogo lak...

clip_image001Kwa mujibu wa mchumba wake Diamond, Penniel Mungilwa aka Vj Penny, wote kwa pamoja ni mashabiki wakubwa wa rapper huyo mwenye umri mdogo lakini aliyejaaliwa uwezo mkubwa wa kuandika mashairi ya hip hop.

Penny ameiambia Bongo5 kuwa mara nyingi wamekuwa wakisikiliza single ya kwanza ya rapper huyo kutoka Mwanza, Dear Gambe.clip_image002Penny Muandishi alitaka kufahamu reaction yake kuhusu wimbo mpya wa Young Killa, Mrs Superstar iliyoachiwa jana ambayo Penny ni miongoni mwa wasichana waliotajwa.

“Sasa vipi ningekuwa na Penny, hivi ntakuwa free au kama ningekuwa na Mwasiti wa THT, Ila Penny nahisi Diamond atanisumbua hata Mwasiti najua Pendo langu atalivua,” anarap Killa.

Kwa mujibu wa Penny, Young Killa ndiye msanii bora kabisa wa Hip Hop kutokea katika kipindi cha miaka michache iliyopita

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top