BAADA YA PICHA ZAKE KUVUJA MANAIKI ATOA HIZI, YENYE MANENO YA KEJELI, ZICHEKI HAPA

clip_image001KATIKA ZUNGUKA ZUNGUKA YANGU NIMEKUTANA NA PICHA HIZI MBILI ZA YULE MSANII BINGWA WA KUPIGA PICHA ZA UTUPU. KATIKA PICHA YA KWANZA JAMAA KAANDIKA MANENO HAYA WANANIITA BOSS WENGINE BOSS FREEMASON, WANGA WANATOA MACHO KISHA AKAMALIZIA NA MANIK THE DONclip_image001[6]KATIKA PICHA YA PILI KASEMA UKINIPENDA USIPONIPENDA YA KWANGU YANASONGA, WE LONGA WE CHONGA YA KWANGU YANA SONGA.

JAMAA SIJUI ANAJIAMINI NINI?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post