VDEO COMING SOON: UZURI WAKO by JUX

clip_image002Msanii wa Bongo fleva anajulikana kwa jina la JUX ambaye kwa sasa makazi yake yapo China, ameongea na DJCHOKAblog na kusema kwa sasa ameshamaliza kushoot video yake mpya inayokwenda kwa jina la UZURI WAKO. Jux amesema video hiyo ameifanyia pande hizo hizo za China sehemu moja inaitwa MACAU, pia baada ya kuonyesha picha za utengenezaji wa video hiyo aisee nilivutiwa sana na Model ambaye amecheza kwenye kideo hicho, picha zaidi nitaziweka soon ngoja niziedit kwanza kwa maana mmmhclip_image002[6]

clip_image002[8]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post