JESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI WA NCHI HIYO USIKU WA KUAMKIA LEO

clip_image002Waziri wa Ulinzi nchini Misri, Abdelfatah al-Sissi akizungumza na vyombo vya habari muda mfupi uliopita kuhusiana na uamuzi Jeshi wa kumuondoa Madarakani Rais wa Nchi hiyo ya Misri, Mohamed Morsi baada ya kushindwa kumaliza mgogoro uliokuwa ukiendelea nchini humo.Rais wa Misri,Mohamed Morsi ambaye ameondolewa madarakani usiku huu.Huko mitaani ni shangwe kwa kwenda mbele baada ya kupokea taarifa ya kuwa Rais wa nchi hiyo hana mamlaka tena ya kuingoza. Sasa hivi nchi iko chini ya Uongozi wa Jaji Mkuu wa nchi hiyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post