P-FUNK NA KAJALA WAMTEMBELEA BINT YAO KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA, CHEKI UJUMBE HUU

clip_image001PAULA

Jana ilikua ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kwanza wa producer Paul Matthysse aka P-Funk Majani aliyezaa na aliyekuwa mchumba wake Kajala Masanja. bb598fd6ed3011e2978e22000a1fb9d3_7Wazazi hao wamemtembelea mtoto wao shuleni na kupiga naye picha.

Kupitia Instagram, Kajala ameshare picha kadhaa zinamuonesha akiwa na Majani, binti yao Paula na Wema Sepetu.

fb926974ed3011e2af3c22000aa80233_7Kajala amemwandikia ujumbe mtamu binti yake akisema:

HAPPY BIRTHDAY my darling, my heartbeat, da reasonto whythez always a smile abt…ur my right hand, my sweetheart, my number one, my beautiful daughter…..mummy loves u sooo much sweet angel….and I pray to god to keep u for a long long tym… u will live to blow a hundred candles my precious….
Happy Birthday, Paula.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post