Story hii ni kutokea nchini kenya, ilianza pale mtangazaji wa kipindi kimoa maarufu nchini kenya alipoamua kutaka kujua kama kuna bifu kati ya Diamond na Prezoo. Kwani siku hache zilizopita Prezoo alimchafua sana Diamond kupitia mtandao wa twitter kwa kumwita DOMO na kuifanya hamjui kabisa diamond.
Sasa mtangaaji Mzazi Willy M. Tuva aliamua kuanza kumpigia Prezoo na kumuuliza kama kumuuliza kama kuna bifu lolote kati ya Diamond na Prezoo, cha ajabu ni kua kila Prezoo alpopigiwa simu haikupokelewa.
Baada ya kuona Prezoo hapokei simu Mzazi Willy M. Tuvaaliamua kumpigia simu Diamond. Diamond alipopigiwa alipokea simu na kusema kua hakujua kama kuna bifu lolote kati yake na msanii Prezoo hadi alipopigiwa simu na waandshi wa habari.
Diamond aliendelea kufunguka kua hajui chanzo cha ugomvi hu ni nini. Pia alifunguka kuhusu prezoo kumpigia simu na kumwomba msamaha lakini yey diamond kutopokea simu. Baada ya mda Diamond alipigiwa simu na management ya Prezoo na kuwaambia kua ili Prezoo aweze kuonyesha kweli alikosa inabidi arudi Twitter na kumuomba msamaha kama alivyofanya mwanzo wakati alipomtukana katika ukurasa wake wa twitter.
Unaweza msikiliza zaidi hapa chini