BRAND NEW VIDEO: SHETA FT RICH MAVOKO–SINA IMANI

clip_image001Ni brand new video kutoka kwa msanii wa kizazi kipya maarufu kama Shetta ambae hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Nimechokwa, Mdananda, Danganye danganye na nyinginezo.
Sasa mpya kutoka kwa Shetta ni kuwa ameachia video ya ngoma yake inayojulikana kama “SINA IMANI” ambayo amemshirikisha mwanamuziki Rich Mavoko.
Audio ya ngoma hii imefanywa ndani ya Studio ya Defetality chini ya Producer.Mensen Selekta na video imesimamiwa na Director. Adam Juma kutoka kampuni ya Visual Lab/Next Level.
Watch the video below ….

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post