Zahanati ya kijiji cha Milola Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
Solar Power System iliyopo kwenye Zahanati hiyo ya Kijiji cha Milola Halmashauri ya wilaya ya Lindi
Huduma ya Maji iliyopo hospitalini Hapo ni ya kisasa Kabisa.
Akina Mama na watoto Zahanati ya Namtamba
Jengo la Zahanati ya Namtamba lilipo Halmashauri ya wilaya ya Lindi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ndugu Rodovic Mwananzila akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Namtamba wakati wa Ukaguzi wa Miradi ya Halmashauri ya wilaya ya Lindi akiwa amefuatana na Mkuu wa wilaya ya Lindi.
Grace Mbaruku ded wa lindi naye alikuwepo katika Msafara huo wa ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo vijiji vya namtamba na Milola katika halmashauri ya Lindi
Tags
HABARI ZA KITAIFA