Mdau wa blog hii Hussein Makadaba akisain cheti cha Ndoa baada ya kufunga ndoa hiyo na kuachana na Ile timu yake sugu ya Makapela, Biharusi akifuatilia Kwa makini uwekaji sahihi huo, ndoa ilifungwa Mjini Dar es salaam.
Kawa hahika Sherehe Ilipendeza, wadau walijitokeza kwa wingi kuwapongeza vijana hao kwa uamuzi wao wa kuachana na UKAPELA na Kuingia maisha ya Ndoa.
Blog Hii inawatakia Kila Lakheri Katika Safari yenu ya Maisha Ya pamoja,
MUNGU AWAONGOZE