Huyu jamaa amejichora tatoo ya ramani ya dunia nzima mgongoni kwake , nchi ambazo ramani yake inaonekana kukolea rangi ndio nchi ambazo huyu jamaa amewahi kutembelea ukiangalia kwa makini utaona kuwa ramani ya Tanzania ndio ramani pekee ambayo rangi yake imekolezwa kwa maana kwamba jamaa huyu amezuru ardhi ya bongo.