NYUMBA YAUNGUA MOTO NA KUTEKETEZA MAGARI SITA ENEO LA MAJUMBA SITA UWANJA WA GONGA JIJINI DAR ES SALAAM

clip_image001Hivi ndivyo mabaki ya nyumba hiyo ambaye  mmiliki wake hakujulikana mara moja inavyo onekanaHaya Ndiyo Magari yaliyo teketea kwa moto, ambapo eneo ambalo nyumba hiyo iliunguwa ilikuwa karibu na GarageBaadhi ya Mabaki katika Nyumba hiyoBaadhi ya Wananchi waliofika  Alfajiri kushuhudia Maafa hayo.

Picha zote na Ibrahim Mlisy

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post