LADY GAGA NMA SANA ATOKELEZEA KWENYE JARIDA LA V BILA YA NGUO CHEKI HAPA

Lady GagaLady Gaga afanya funika kwa kupiga picha kwaajili ya gazeti la V akiwa hajavaa nguo hata moja. Lady Gaga anatarajia kutoa album yake mpya itakayoitwa Artpop.
Artpop itakuwa sokoni mwezi wa 11 na nyimbo ya kwanza kutoka kwenye hiyo album itatambulishwa mwezi wa nane tarehe 19.
Hivi karibuni Forbes magazine walisema Lady Gaga ndiye msanii anayeongoza kuwa na hela kuzidi wasanii wote wenye umri chini ya miaka 30.

18+AGE NDIO WANARUHUSIWA KUANGALIA PICHA HII

BOFYA HAPA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post