Mhe Khalfan Omary Khalfan akiwa mwenye furaha baada ya kufunga ndoa na Bi Nasra Issa Piku Mwishoni mwa wiki Mjini Lindi
Mr&Mrs Khalfan wakiingia katika Ukumbi wa Mtakatifu Andrea Kagwa kwa ajili ya sherehe ya kuwapongeza baada ya kufunga ndoa.Watoto wa Dr Omary Khalfan wakitoa zawadi kwa baba na mama yao katika sherehe hizo ikiwa Ishara ya malezi bora kwa watoto wakeMdau wa blog ya Jamii Abdulaziz Video akijitambulisha kwa wadau kuwa ni mmoja ya wanakamati walioandaa sherehe hiyo...Aidha Abdulaziz Video Recording ilipewa jukumu la kuhakikisha kumbukumbu ya sherehe hiyo inakuwa bora..Abdulaziz Video Rec ilikuwa "Live" katika ukumbi huo kwa picha za kawaida na Video
Kila la Heri Mr na Mrs Khalfan
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.