Hawa wamekamatwa wakiwa wana katakata nyama ya mbwa tayari kwenda kuiuza mtaani, Chakujiuliza kwa jinsi hali ya maisha ya sasa nchini ilivyo kuwa ngumu nidhahiri ukiletewa nyumbani kwa punguzo la bei lazima utanunua na kufanya mboga bila hata ya kuhoji imechinjwa wapi na imekagulia na dr. gani wa mifugo
duh… Hii ni hatari..lazima kuwa makini katika hili la sivyo utakura hadi visivyo riwa mura…..!!
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.