GARI LA KITUO CHA AFYA YAGEUZWA DALA DALA–MBEYA

clip_image002Picha juu na chini ni Gari la kituo cha Afya Ilembo Mbeya Vijijini lakutwa likipakia abiria kama lilivyokutwa na mdau wetu.clip_image002[7]Hii ni hatari gari la serikali mkuu wa kitiuo cha afya na dereva wanashirikiana. Mbalizi hadi Ilembo nauli ni Tshs. 4000. Mamlaka usika mpo wapi? Na Mdau Andrew Chale.clip_image002[9]clip_image002[11]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post