CAMEROON YAFUNGIWA NA FIFA

clip_image001Cameroon imefungiwa kwa muda na FIFA kufuatia serikali ya nchi hiyo kujiingiza katika maswala ya chama cha soka nchini humo.

Tangazo la FIFA limesema kwamba kamati ya dharura ya shirikisho hilo la dimba duniani imeamua kusimamisha kwa muda chama cha soka cha Cameroon FECAFOOT na uamuzi huo umeanza kutekelezwa mara moja kwa sababu serikali inaingilia maswala ya chama cha soka.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post