Wachezaji wa Simba SC wakiwa na sanamau la Baba wa Taifa, marehemu Mwalimu Julius Nyerere juzi walipotembelea nyumba ya kumbukumbu ya Rais huyo wa kwanza wa Tanzania Tarime mkoani Mara. Simba ilikuwa mkoani huko kwa ziara ya mchezo mmoja wa kirafiki ambao walicheza na Polisi Mara na kutoka sare ya 1-1 jana.
Kaburini kwa baba wa Taifa
Zahor Pazi
Kulia Zahor Pazi na kushoto Jonas Mkude wakiwa na Mama Maria Nyerere, mjane wa Mwalimu Nyerere
Nyota wa Msimbazi
Kwa raha zao
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA BINZUBEIRY
Tags
SPORTS NEWS