ANGALIA PICHA YA NDEGE ILIYO BINUKA KWA KOSA LA UPANGAJI WA MIZIGO, ARUSHA

clip_image001Ndege ya kampuni ya Coastal inayofanya safari zake kutokea Dar kwenda kwenye miji na mapori karibu yote yenye airstrips hapa nchini ikiwa imebinuka huko Kiwanja cha ndege cha Arusha baada ya wahudumu wake kukosea namna ya upangaji wa mizigo ndani ya ndege hiyo na pia kutokuweka vifaa maalum vya usalama vya kuzuia kubinuka! Hili ni tatizo la kuchanganya Uswahili na mambo ya kitaalamu!

Picha, maelezo: PakaJimmy via JamiiForums

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post