Unknown Unknown Author
Title: MPIGANIA HAKI ZA MASHOGA AKUTWA AMEUAWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mpigania haki za mashoga nchini Cameroon amekutwa amekufa nyumbani kwake Yaounde baada ya kuteswa, Wapigania Haki za Binadamu wamesema. Mwi...

clip_image001Mpigania haki za mashoga nchini Cameroon amekutwa amekufa nyumbani kwake Yaounde baada ya kuteswa, Wapigania Haki za Binadamu wamesema.

Mwili wa Eric Lembembe ulikutwa kwenye jiji hilo mnamo siku ya Jumatatu huku ukionekana alikuwa ameteswa vibaya sana, kundi hilo lilisema kwenye maelezo yao siku ya Jumanne.

Maraiki wa Lembembe waliukuta mwili wake mnamo siku ya Jumatatu jioni. Kwa mujibu wa rafiki zake shingo yake ilivunjwa na uso wake, mikono na miguu viliunguzwa moto kwa kutumia pasi,” taarifa ilisema.

Shirika hilo limeelezea kitendo hicho kama ni cha “mauwaji”na kuzitaka mamlaka husika kuendelea kufanya uchunguzi wa kina.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top