Unknown Unknown Author
Title: WAANDAAJI WA REDD'S MISS MOROGORO 2013 WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI LEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Alexia Shayo akipokea  kifuta  jasho baada ya kushindwa  kuingia nafasi ya  tano Saidath Khamis ambae  pia hakubahatika  kuingia  tano bora ...

clip_image001Alexia Shayo akipokea  kifuta  jasho baada ya kushindwa  kuingia nafasi ya  tanoSaidath Khamis ambae  pia hakubahatika  kuingia  tano bora akipewa  kifuta machoziMshiriki  Pendo David ambae  pia hakupenya  tano  bora  akipokea  kifuta jasho  cha Tsh 50,000 pamoja na nauli  ya  kurudi kwaoMshiriki Neema Joel kutoka  Arusha  ambae  alikosa  sifa  za kuingia  tano bora  baada ya  kushiriki  Arusha na Morogoro akipokea  chake Tsh 50,000SAphina Chuma kutoka  Kilombero ambae  alienguliwa baada ya kupanda  jukwaani na chupi hivyo kukosa  sifa  ya  kuendelea na shindano hilo hapa akipewa  kifuta jashoMshindi wa nafasi ya  tatu katika shindano  hilo Muzne Abdully akipokea zawadi yake  ya Tsh 200,000 kutoka kwa  mgeni rasmi na mdhamini mkuu wa shindano hilo kutoka Hotel ya NAF BEACH HOTEL Mtwara, Rama Chalinze  wengine  pichani  kushoto ni aliyekuwa  mwalimu  wao Salvina Kibona (Miss Morogoro 2012), Asha Sareh, Soul Makin mwana kamati  kulia  ni MC wa shindano hilo Bob Rich na mratibu  wa shindano Frank Kakambako wakishuhudiaMshiriki namba  4 katika  shindano  hilo Ummy Mohamed akipokea  chake Tsh 100,000  kutoka kwa mgeni rasmiMshiriki aliyeingia nafasi ya tano katika  shindano hilo Farioda  Banzi akipokea zawadi yake ya TSh 100,000Mshindi  wa  nafasi ya  pili katika  shindano hilo Sabra Islam akipokea  zawadi  ya Tsh 200,000 Mshindi  wa  taji  la Redd's Miss Morogoro 2013  Diana Laizer akipokea  zawadi yake ya Tsh 350,000 kutoka kwa kutoka kwa  mgeni rasmi na mdhamini mkuu wa shindano hilo kutoka Hotel ya NAF BEACH HOTEL Mtwara, Rama Chalinze  wengine  pichani  kushoto ni aliyekuwa  mwalimu  wao Salvina Kibona (Miss Morogoro 2012), Asha Sareh, Soul Makin mwana kamati  kulia  ni MC wa shindano hilo Bob Rich na mratibu  wa shindano Frank Kakambako wakishuhudia

SOURCE: MATUKIODAIMA.COM

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top