UNATAFSIRI GANI KUHUSU KITENDO HIKI?MWANAHABARI KUPEWA ZAWADI YA BENDERA YA CCM KATIKA HARUSI YAKE
byUnknown-
0
Mwanahabari Tumain Msowoya akiwa na mumewe siku ya harusi yao ambapo walipewa zawadi ya kofia ya CCM kwa upande wa mwanaume na yeye kupewa bendera ya CCM kama wanavyoonekana. Picha ya chini
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...