HUYU NDIE MSHINDI WA REDD’S MISS LINDI 2013 JANETH AWET

clip_image003Janeth Awet ndie aliye ibuka mshindi katika Kinyang’anyiro cha kumtafuta Redd’s Miss Lindi, na Kufuatiwa na Sophia Maganga aliechukua nafasi ya Pili huku nafasi ya Tatu ikienda kwa Zainabu Shabani, mshindi wa Nne ilienda kwa Angel Kussanga na tano ni Pendo Chodas.clip_image003[12]Katika upande wa Taji la Vipaji lilienda kwa mshiri Leila Abdu (aliesimama nyuma) na Taji la Miss Personality Lilienda kwa Pendo Chodas.clip_image003[14]Msanii wa bongo fleva Dullayo akiwa katika staji akitoa burudani wakati wa shindano la kumsaka Redd’d Miss Lindi Usiku wa tarehe 31/05/2013

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post