NI AJABU NA INASTAJABISHA:
Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshangaa samaki
huyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi
wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona, maana samaki huyu
aelewiki ni CHUI,DUMA au ni nini....
Nikaona nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe msomaji wetu wa Fahari ya Kusini nawe upate kujua
yanayoendelea Duniani.....kwangu mimi ni ajabu sijawahi
kuona kiumbe kama hicho.....
Tags
HABARI ZA KITAIFA