Miss Tanzania 2001 Na Mwanamitindo Happiness Magese aka Millen Amehitimu Chuo Cha Filamu Mjini New York. Happy amejifunza maswala tofauti ya uigizaji na Filamu na kuhitimu chuo cha New York Film Academy Ijumaa Iliyopita. Kwenye Instagram Aliandika Hivi.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.