KLABU ya Barcelona imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Mbrazil Neymar baada ya kutua katika klabu hityo leo.
Mbrazil huyo anaungana na wakali kama Lionel Messi, Xavi, Andres Iniesta na Daniel Alves Barcelona akiwa anapewa nafasi ya kufuata nyayo za Wabrazil wengine waliotikisa Ulaya.
RATIBA YA NEYMAE BARCA...
1pm Kupigwa picha kabla ya kufanyiwa vipimo vya afya
4pm Milango ya Camp Nou inafunguliwa ili wapenzi na mashabiki kuingia
4.45pm Anasaini Mkataba katika ofisi za klabu
5.45pm Kupiga picha FCB
6.15pm Milango inafunguliwa kwa ajili ya sherehe ya kumtambulisha Neymar kama mchezaji mpya wa FC Barcelona Camp Nou.
7.30pm Mkutano na Waandishi wa Habari
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.