Amerudi England: Jose Mourinho amerejea London tayari kuanza kazi ChelseaMourinho alipigwa picha akiwasili Uwanja wa Ndege wa Heathrow janaKOCHA Jose Mourinho leo amekutana na viongozi wa Chelsea kukamilisha mpango wa kurejea kwake Stamford Bridge.
Taarifa rasmi inatarajiwa kutolewa baadaye leo kuthibitisha kusaini kwake Mkataba wa miaka minne hii ikiwa ni mara ya pili kwa Mourinho kufanya kazi klabu hiyo ya London, kiasi cha saa kadhaa tu tangu aache kazi Real Madrid.
Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 50 tayari imethibitika ataanza kazi Chelsea wiki hii.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.