Unknown Unknown Author
Title: MWILI WA NGWAIR KUTOWASILI TENA LEO HII
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kamati ya msiba ya mwanamuziki Albert Mangwea, imeleta taarifa kwamba mwili wa Ndugu  yetu Albert Mangwea hautoweza kufika siku ya jumapili ...

clip_image001Kamati ya msiba ya mwanamuziki Albert Mangwea, imeleta taarifa kwamba mwili wa Ndugu  yetu Albert Mangwea hautoweza kufika siku ya jumapili ya tarehe 2/ 06/2013 kama ilivyo taarifa hapo awali, hii ni kutokana na sababu  zilizokuwa nje ya uwezo wetu.

Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu/wawakilishi  wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo  tutawafahamisha zaidi.

Tunaomba radhi watanzania wote kwa usumbufu wote  uliojitokeza  tushirikiane na uvumilivu kwa hili.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top