MCHEKI MSHIRIKI WA TANZANIA (FEZA KESSY) AKIMUOGESHA MSHIRIKI WA ZIMBABWE (HAKEEM) NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

clip_image001

Video hizi  hutolewa na big borther wenyewe kwa jamii kama sehemu ya shindano hilo....

Washiriki wote wa big brother wanajua  ya  kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila kona.Kwa hiyo, kama mtu ataamua kufanya ufuska au kukaa uchi basi ajue kamera zitamrekodi na kumwanika hadharani....

Masharti hayo hujuzwa mapema kabla ya kuanza kwa shindano hilo...

Hakeem

Huyu ni mshiriki toka zimbabwe aliyepata bahati ya kuoga na dada yetu Feza ndani ya bafu moja

Feza

Huyu ni mshiriki toka Tanzania....Yuko ndani ya bafu moja akioga na mshiriki  wa Zimbabwe.....

Dakika chache baada ya kila mmoja kuoga kivyake, Hakeem anaamua kumuomba Feza amsugue mgongoni....

Video iko hapo chini....Kuitazama ni shart uwe mtu mzima na ni hiari pia.

<<  VIDEO  IKO HAPA >>

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post