Unknown Unknown Author
Title: MAMA SALMA KIKWETE AKIWA NEW YORK KUPOKEA TUZO MAALUM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wake wa Marais wa Afrika wakati wa hafla ya ukaribisho iliyofanyika...

clip_image003Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wake wa Marais wa Afrika wakati wa hafla ya ukaribisho iliyofanyika katika ukumbi wa UN Millenium Hotel huko New York nchini Marekani tarehe 11.6.2013.  Mama Salma yupo nchini humo kwa ajili ya kupokea tuzo maalum ya Millenium Development Goals; Women Progress Award. Wengine katika picha ni Mama Constancia Mangue Nsue de Obiang, Mke wa Rais wa Equatorial Guinea, Mrs Nana-Fosue Randal, Mwanzilishi na Rais wa Voice of African Mother’s Inc.akifuatiwa na Mrs Denise Nkurunziza Bucumi na Mwisho ni Madam Traore Mintou Doucoure, Mke wa Rais wa MaliIMG_6401 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais wa Mali Madam Traore Mintou Doucoure wakati wa hafla ya ukaribisho iliyofanyika huko New York tarehe 11.6.2013. IMG_6656Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mwanzilishi na Rais wa Shirika la Voice of African Mother’s Inc.la nchini Marekani Mrs Nana-Fosue Randal wakati wa tafrija ya kuwakaribisha wake wa Marais kutoka barani Afrika watakaotunukiwa tuzo ya Millenium Development Goals itakayotolewa tarehe 13.6,2013. IMG_6692Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na wake wa Marais wa Afrika wakati wa tafrija ya kuwakaribisha iliyofanyika katika ukumbi wa UN Milenium Hotel tarehe 11.6.2013. Wengine katika picha ni Mke wa Rais wa Mali Madam Traore Mintou Doucoure, Mke wa Rais wa Equatorial Guinea Madam Constancia Mangue Nsue de Obiang na wa mwisho ni Mwanzilishi na Rais wa Shirika la Voice of African Mother’s Inc la nchini Marekani Mrs Nana-Fosue Randal. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiingia kwenye tafrija  akiongozana na Mke wa Rais wa Equatorial Guinea Madam Constancia Mangue Nsue de ObiangMke wa Rais Mama Salma Kikwete akiingia kwenye tafrija akiongozana na Mke wa Rais wa Equatorial Guinea Madam Constancia Mangue Nsue de Obiang

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top