Kuna uwezekano swali lako likawa lilelile ambalo wengi walikua wakitaka jibu lake, Bella wa Akudo yukwapi? …..yuko Sweden kwa sasa Pamoja na kwamba yuko mbali na Bongo kwa sasa, bado anataka kuzidi kuiweka alama kwa kila shabiki wa nyimbo zake ndio maana katushushia video mpya aliyoifanya hukohuko Sweden inaitwa ‘Msaliti’
Tags
VIDEOS