LADY JAYDEE ATOA SHUKRANI KWA MASHABIKI WAKE, AWATAKA WAKAZI WA MIKOANI KUJIANDAA KWA SHOW YA NGUVU

JIDE MWANA FAMsanii mkongwe wa RNB bongo Comando/Anaconda Lady Jaydee ametoa shukrani kwa mashabiki wake kwa kile walichokifanya katika show yake ya Uzinduzi wa Albamu yake na Sherehe ya Miaka 13 ya Muziki Tanzania.

Hebu msikilizee alicho kisema Hapa…

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post