TANZIA: MWANDISHI WA CHANEL TEN AFARIKI DUNIA.

clip_image002Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel ten Bw.Charles Hilila amefariki dunia  saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya Malaria iliyokuwa ikimsumbua kwa muda wa siku chache zilizopita...

MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU CHARLES HILILA-AMENI.

HABARI KWA HISANI YA http://shinyangayetu.blogspot.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post