DUH HII INATISHA JAMANI, HEBU TUSEME BAASI.

clip_image002Hii ni video inayoonesha jinsi tukio la tarehe 15 june, 2013 la kulipoka kwa bomu jijini arusha katika mkutano wa kufunga kampeni ya chama cha demokrasia na Maendeleo. mlipuko huo ulisababisha vifo vya watu watatu hadi hivi sasa walio kwisha tangazwa na serikali ya Jamhuri ya Tanzania. Hebu tuseme yametosha jamani umwagaji huu wa damu za wananchi si jambo zuri katika jamii yetu inapandikiza chuki katika jamii vita hii inaweza ikahamia katika vizazi na vizazi ikawa kama mataifa ya huko kweingine.

HEBU PATA DAKIKA MBILI KUITAZAMA VIDEO HII.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post