Mshambuliaji wa Simba SC, Edward Christopher akifanya mazoezi asubuhi ya leo kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki Dar es Salaam.
Edo akikokota mpira mazoezini
Mtoto kwa baba hakui; Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' akimuelekeza jambo Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo mazoezini asubuhi ya leo. Kibadeni amewahi kumfundisha Jamhuri Kihwelo Simba SC.
Kiungo Rashid Ismail akikokota mpira
Adeyoum Saleh Ahmed akikokota mpira
Ramadhani Singano 'Messi'
Hassan Hatibu akikokota mpira
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Sweddy Nkwabi akimkaribisha mazoezini Daktari mpya wa timu hiyo, Yassin Gembe aliyekuwa akifanya kazi Mtibwa Sugar ya Morogoro ambaye anachukua nafasi ya Cossmas Kapinga aliyejiuzulu. Kushoto ni Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala.
Habari kwa hisani ya BINZUBER BLOG