HUYU DEMU HAISHI VITUKO AISEE. ANAITWA HUDDAH KWA WASIOMJUA NI YULE DEMU ALIYETOLEWA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER. PIA NI DEMU YULE YULE ALIYEKUA NA BIFU NA MWANADADA DIVA WA CLOUDS FM KISA PENZI LA MSANII PREZOO. SASA SIKU ZA KARIBUNI KULIKUA NA KA UVUMI KUA HUDDAH KAKONDA KISA ANA UKIMWI. SI UNAJUA WASWAHILI HAWAKOSAGA LA KUSEMA!
SASA BAADA YA UVUMI HUO KUVUMA SANA, SASA KAAMUA KUFUNGUKA KUA SABABU YA YEYE KUKONDA NI KUA ADDICTED SANA NA MADAWA YA KULEVYA AINA YA COCAIN. ALIYASEMA HAYO KATIKA INTERVIEW NA GHETO RADIO YA HUKO KENYA. ALIZIDI KUSEMA KUA SABABU KUBWA ILIYOMFANYA ATUMIE COCAIN NI KUA NA MSONGO WA MAWAZO. KATIKA KAULI YAKE MWENYEWE KAKUBALI KUA ALIKUA MTEJA LAKINI KWA SASASOURCE: BONGOCLANTZ
Home
»
Vituko vya jiji la Dar
» HUDDAH AKILI KUA KAKONDA SI SABABUYA UKIMWI KAMA WANAVYOSEMA, BALI NI KWA SABABU YA KUA ADDICTED NA COCAIN. SOMA ZAIDI HAPA
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.