Unknown Unknown Author
Title: WAENDESHA BODABODA WAKABIDHIWA LESENI BAADA YA KUHITIMU MAFUNZO YA VETA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Bi REGINA CHONJO akisakata Rhumba na Waendesha Boda Boda Baada Vijana Hao Kutoa Ombi kwa Mbunge Wao kumpa Ushir...

CHONJOMkuu wa Wilaya ya Nachingwea Bi REGINA CHONJO akisakata Rhumba na Waendesha Boda Boda Baada Vijana Hao Kutoa Ombi
kwa Mbunge Wao kumpa Ushirikiano Mkuu wa Wilaya huyo kufuatia Uimara wake kukutanisha na kutatua kero za jamii
LESENIMmoja ya Waendesha Boda boda akikabidhiwa leseni yake na Waziri wa Katiba NA Sheria,Mathias Chikawe katika hafla
iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea
WAENDESHA BODABODA (1)Waendesha Boda Boda wa wilaya ya Nachingwea wakishangilia upatikanaji wa mafunzo pamoja na kupatiwa Leseni ya Udereva

Na Abdulaziz Video,Nachingwea
Jumla ya Vijana 63 Waendesha Pikipiki na Bajaj (MAARUFU BODABODA) Wilayani Nachingwea wamekabidhiwa Leseni za Udereva baada ya kuhitimu Mafunzo yaliyotolewa na Veta na Kitengo cha Usalama Barabarani baada ya Kuwezesha na Mbunge wa Jimbo hilo Ambae Pia ni Waziri wa Sheria na Katiba,Mathias Chikawe
PICHA YA PAMOJAKatika kufanikisha zoezi hilo Mbunge huyo pia amesaidia kuwalipia
Leseni zenye thamani ya Tshs Milioni Tatu ambapo Vijana 50 wamenufaika na mpango huo ambao utakuwa endelevu katika jimbo hilo Mpango huo wa kuwezesha Vijana Hao ni Jitihada za Mkuu wa Wilaya Hiyo Bi Regina Chonjo baada ya kukutana na makundi mbalimbali na kubaini Baadhi ya Changamoto ikiwemo mahusiano mabaya kati ya Polisi wilayni humo na Waendesha Bodaboda hali Iliyokuwa Inachangia Uvunjifu wa AMANI Ikiwemo kutotoa huduma kwa Uaminifu Huku wakiwa ni tegemeo kubwa la Usafiri na Usafirishaji Vijijini Wakiwemo WAGONJWA
BODABODABODA 2

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top