HII NDO FILAMU MPYAAAAA ATAKAYOTOKA NAYO MWANADADA WEMA SEPETU. NDANI YUMO KALI RADO

clip_image001Baada ya kufanya vizuri na filamu yake ya maduhu, hatimaye mwigizaji Simon Mwapagata ameanza kutengeneza Filamu yake mpya aliyowashirikisha mastaa mbalimbali akiwemo mrembo kipenzi cha wengi Wema Abraham Sepetu.

Akizungumza katika utengenezaji wa Filamu hiyo unaoendelea maeneo mbalimbali ya jijini Dar es salaam, Rado (Simon Mwapagata) amesema kuwa Filamu hiyo itafanyika mjini Dar es Salaam na baadaye mkoani Tanga.

Ndani ya Filamu hiyo, yupo mwigizaji mwingine mkongwe Deogratious Shija na Sudi…

Tazama picha za utengenezaji wa Filamu hiyo hapo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post